summaryrefslogtreecommitdiffstats
path: root/chromium/chrome/app/resources/chromium_strings_sw.xtb
blob: 1025a9682c4d6697c84ba2fa648df2d342375818 (plain)
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150
151
152
153
154
155
156
157
158
159
160
161
162
163
164
165
166
167
168
169
170
171
172
173
174
175
176
177
178
179
180
181
182
183
184
185
186
187
188
189
190
191
192
193
194
195
196
197
198
199
200
201
202
203
204
205
206
207
208
209
210
211
212
213
214
215
216
217
218
219
220
221
222
223
224
225
226
227
228
229
230
231
232
233
234
235
236
<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1065672644894730302">Mapendeleo yako hayawezi kusomwa.

Baadhi ya vipengele huenda visipatikane na mabadiliko katika mapendeleo hayatahifadhiwa.</translation>
<translation id="1104942323762546749">Chromium ingependa kuhamisha manenosiri yako. Andika nenosiri lako la Windows ili uruhusu shughuli hii.</translation>
<translation id="1115445892567829615">Chromium haikuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli siri yako ya Usawazishaji.</translation>
<translation id="113122355610423240">Chromium ni kivinjari chako chaguomsingi</translation>
<translation id="1185134272377778587">Kuhusu Chromium</translation>
<translation id="1396446129537741364">Chromium inajaribu kuonyesha manenosiri.</translation>
<translation id="1414495520565016063">Umeingia kwenye Chromium!</translation>
<translation id="151962892725702025">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani kwa kikoa chako.</translation>
<translation id="1524282610922162960">Shiriki kichupo cha Chromium</translation>
<translation id="1607715478322902680">{COUNT,plural, =0{Msimamizi wako anataka ufungue Chromium tena ili utumie sasisho}=1{Msimamizi wako anataka ufungue Chromium tena ili utumie sasisho. Haitafungua upya dirisha fiche.}other{Msimamizi wako anataka ufungue Chromium tena ili utumie sasisho. Haitafungua upya madirisha # fiche.}}</translation>
<translation id="1708666629004767631">Kuna toleo jipya, na salama linalopatikana la Chromium.</translation>
<translation id="1774152462503052664">Acha Chromium iendeshe katika mandharinyuma</translation>
<translation id="1779356040007214683">Ili kufanya Chromium salama zaidi, tumezima baadhi ya viendelezi ambavyo havijaorodheshwa katika <ph name="IDS_EXTENSION_WEB_STORE_TITLE" /> na ambavyo huendwa viliongezwa pasipo ridhaa yako.</translation>
<translation id="1808667845054772817">Sakinisha Chromium Upya</translation>
<translation id="1881322772814446296">Unaingia katika akaunti ukitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Chromium. Data yako ya Chromium, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio nyingine itahusishwa na<ph name="USER_NAME" /> kabisa. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza  kuunganisha data hii na akaunti nyingine. Unaweza kwa hiari kuunda wasifu mpya ili kuweka data yako ya Chromium iliyo kando. <ph name="LEARN_MORE" /></translation>
<translation id="1911763535808217981">Kwa kuzima kipengele hiki, unaweza kuingia katika tovuti za Google kama vile Gmail bila kuingia katika akaunti ya Chromium</translation>
<translation id="1929939181775079593">Chromium haiamiliki. Zindua upya sasa?</translation>
<translation id="1966382378801805537">Chromium haijafaulu kubainisha wala kuweka kivinjari chaguomsingi</translation>
<translation id="2008474315282236005">Hatua hii itafuta kipengee 1 kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data yako baadaye, ingia katika Chromium ukitumia <ph name="USER_EMAIL" />.</translation>
<translation id="2119636228670142020">Kuhusu Chromium OS</translation>
<translation id="2241627712206172106">Kama unatumia kompyuta pamoja na wengine, marafiki na familia wanaweza kuvinjari tofauti na kusanidi Chromium jinsi wapendavyo.</translation>
<translation id="2347108572062610441">Kiendelezi hiki kimebadilisha ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium.</translation>
<translation id="2396765026452590966">Kiendelezi hiki "<ph name="EXTENSION_NAME" />" kimebadilisha ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium.</translation>
<translation id="2483889755041906834">Katika Chromium</translation>
<translation id="2485422356828889247">Ondoa</translation>
<translation id="2527042973354814951">Zima na uwashe Chromium tena ili uwashe <ph name="PLUGIN_NAME" /></translation>
<translation id="2535480412977113886">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa.</translation>
<translation id="2560420686485554789">Chromium inahitaji ruhusa ya kufikia hifadhi ili ipakue faili</translation>
<translation id="2572494885440352020">Kisaidizi cha Chromium</translation>
<translation id="2587578672395088481">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium unahitaji kuzimwa na kuwashwa ili kutumia sasisho.</translation>
<translation id="2647554856022461007">Chromium inaweza kutumia huduma za wavuti kuboresha hali yako ya kuvinjari. Unaweza kuzima huduma hizi kwa hiari. <ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="2648074677641340862">Hitilafu ya mfumo wa uendeshaji imetokea wakati wa usakinishaji. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="2711502716910134313">Kichupo cha Chromium</translation>
<translation id="2718390899429598676">Kwa usalama ulioongezwa, Chromium itasimba data yako kwa njia fiche.</translation>
<translation id="2770231113462710648">Badilisha kivinjari chaguomsingi kiwe:</translation>
<translation id="2799223571221894425">Funga na ufungue</translation>
<translation id="2838154144102149890">Ili usasishe, unahitaji kuacha kutumia Chromium kwenye kompyuta hii. Hali hii inaweza kusababisha watumiaji wengine walioingia katika akaunti kwenye kompyuta hii kupoteza mabadiliko ambayo hawajahifadhi.</translation>
<translation id="2847479871509788944">Ondoa kwenye Chromium...</translation>
<translation id="2886012850691518054">Si lazima: Saidia kuboresha Chromium kwa kutumia Google takwimu za matumizi na ripoti wakati wowote huduma hii inapoacha kufanya kazi.</translation>
<translation id="2910007522516064972">Kuhusu Chromium</translation>
<translation id="2977470724722393594">Chromium imesasishwa</translation>
<translation id="3032787606318309379">Inaongeza kwenye Chromium...</translation>
<translation id="3068515742935458733">Saidia kuboresha Chromium kwa kutuma ripoti za kuacha kufanya kazi na <ph name="UMA_LINK" /> kwenda Google</translation>
<translation id="3103660991484857065">Kisakinishi kilishindwa kufinyuza kumbukumbu. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="3130323860337406239">Chromium inatumia maikrofoni yako.</translation>
<translation id="3155163173539279776">Zindua upya Chromium</translation>
<translation id="3179665906251668410">Fungua Kiungo katika Dirisha Fiche la Chromium</translation>
<translation id="3190315855212034486">Lo! Chromium imevurugika. Unataka kuzindua upya sasa?</translation>
<translation id="3229526316128325841">Chromium ingependa kuhamisha manenosiri yako.</translation>
<translation id="3258596308407688501">Chromium haiwezi kusoma na kuandika kwenye saraka yake ya data:

<ph name="USER_DATA_DIRECTORY" /></translation>
<translation id="328888136576916638">Funguo za Google API zinakosekana. Utendaji fulani wa Chromium utazimwa.</translation>
<translation id="3296368748942286671">Endelea kuendesha programu za mandharinyuma wakati Chromium imefungwa</translation>
<translation id="331951419404882060">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kutokana na hitilafu wakati wa kuingia katika akaunti.</translation>
<translation id="3340978935015468852">mipangilio</translation>
<translation id="3474745554856756813">Hatua hii itafuta vipengee <ph name="ITEMS_COUNT" /> kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data yako baadaye, ingia katika Chromium ukitumia <ph name="USER_EMAIL" />.</translation>
<translation id="3509308970982693815">Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium na ujaribu tena.</translation>
<translation id="352783484088404971">Ondoa Kwenye Chromium...</translation>
<translation id="3575459661164320785">Kuna programu hatari kwenye kompyuta yako. Chromium inaweza kuiondoa, kurejesha mipangilio yako na kuzima viendelezi ili kufanya kivinjari chako kifanye kazi tena kama kawaida.</translation>
<translation id="358997566136285270">Nembo ya Chromium</translation>
<translation id="3639635944603682591">Data ya kuvinjari ya mtu huyu itafutwa kwenye kifaa hiki. Ili kurejesha data, ingia katika Chromium ukitumia <ph name="USER_EMAIL" />.</translation>
<translation id="364817392622123556">{COUNT,plural, =0{Sasisho jipya la Chromium linapatikana na litaanza kutumika pindi utakapofungua tena.}=1{Sasisho jipya la Chromium linapatikana na litaanza kutumika pindi utakapofungua tena. Haitafungua upya dirisha fiche.}other{Sasisho jipya la Chromium linapatikana na litaanza kutumika pindi utakapofungua tena. Haitafungua upya madirisha # fiche.}}</translation>
<translation id="370962675267501463">{COUNT,plural, =0{Msimamizi wako anataka ufungue Chromium tena ili utumie sasisho hili}=1{Msimamizi wako anataka ufungue Chromium tena ili utumie sasisho hili. Haitafungua upya dirisha fiche.}other{Msimamizi wako anataka ufungue Chromium tena ili utumie sasisho hili. Haitafungua upya madirisha # fiche.}}</translation>
<translation id="3713809861844741608">Fungua kiungo katika kichupo kipya cha Chromium</translation>
<translation id="3728336900324680424">Chromium itafikia Hifadhi yako ili itoe mapendekezo kwenye sehemu ya anwani</translation>
<translation id="378917192836375108">Chromium hukuruhusu kubofya nambari ya simu kwenye wavuti na kuipiga kwa Skype.</translation>
<translation id="3848258323044014972"><ph name="PAGE_TITLE" /> - Chromium</translation>
<translation id="388648406173476553">Dhibiti na uweke mapendeleo kwenye Chromium. Unahitaji kushughulikia jambo fulani. Bofya ili upate maelezo.</translation>
<translation id="3889543394854987837">Bofya jina lako ili ufungue Chromium na uanze kuvinjari.</translation>
<translation id="4036079820698952681">Saidia kuboresha Chromium kwa kuripoti kuhusu <ph name="BEGIN_LINK" />mipangilio ya sasa<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="4050175100176540509">Maboresho muhimu ya usalama na vipengele vipya vinapatikana katika toleo jipya.</translation>
<translation id="421369550622382712">Gundua programu, michezo, viendelezi na mandhari bora ya Chromium.</translation>
<translation id="4216212958613226427">Lugha hii inatumiwa kuonyesha Kiolesura cha Chromium</translation>
<translation id="4230135487732243613">Ungependa kuunganisha data yako ya Chromium kwenye akaunti hii?</translation>
<translation id="4271805377592243930">Pata usaidizi wa kutumia Chromium</translation>
<translation id="4285930937574705105">Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Ikiwa Chromium inaendesha sasa, tafadhali ifunge na ujaribu tena.</translation>
<translation id="4407044323746248786">Ungependa kufunga Chromium?</translation>
<translation id="4415566066719264597">Ruhusu Chromium itumike Chinichini</translation>
<translation id="4423735387467980091">Dhibiti na ugeuze Chromium ikufae</translation>
<translation id="4567424176335768812">Umeingia katika akaunti kama <ph name="USER_EMAIL_ADDRESS" />. Sasa unaweza kupata alamisho, historia, na mipangilio yako mingine kwenye vifaa vyako vyote vilivyoingia katika akaunti.</translation>
<translation id="459535195905078186">Programu za Chromium</translation>
<translation id="4621240073146040695">Inakaribia kukamilisha kusasishwa! Anzisha Chromium upya ili ukamilishe kusasisha.</translation>
<translation id="4661006601577405669">Matoleo ya Chromium ya siku zijazo yatajisakinisha kiotomatiki.</translation>
<translation id="4677944499843243528">Wasifu unaonekana kuwa unatumika na mchakato mwingine wa Chromium (<ph name="PROCESS_ID" />) kwenye kompyuta nyingine (<ph name="HOST_NAME" />). Chromium imefunga wasifu huu ili usifisidiwe. Kama una uhakika hakuna michakato mingine inatumia wasifu huu, unaweza kufungua wasifu na uzindue tena Chromium.</translation>
<translation id="469338717132742108">Pata usaidizi wa kutumia mfumo wa uendeshaji wa Chromium</translation>
<translation id="4708774505295300557">Kuna mtu aliingia katika Chromium kwenye kompyuta hii akitumia <ph name="ACCOUNT_EMAIL_LAST" />. Tafadhali ongeza wasifu mpya wa Chromium ili utenganishe maelezo yako.</translation>
<translation id="4746050847053251315">Ungependa kufunga Chromium?</translation>
<translation id="4748217263233248895">Sasisho maalum la usalama wa Chromium limewekwa sasa hivi. Ifunge kisha uifungue na tutarejesha vichupo vyako.</translation>
<translation id="479167709087336770">Huduma hii hutumia kikagua maendelezo sawa na kinachotumika kwenye Huduma ya Tafuta na Google. Maandishi unayoandika kwenye kivinjari yanatumwa kwa Google. Unaweza kubadilisha hali hii katika mipangilio wakati wowote.</translation>
<translation id="4888717733111232871">Sheria ya ndani ya Chromium ili kuruhusu trafiki ya mDNS.</translation>
<translation id="4943838377383847465">Chromium iko katika hali ya chini chini.</translation>
<translation id="4987820182225656817">Walioalikwa wanaweza kutumia Chromium bila kuacha kitu chochote nyuma.</translation>
<translation id="4994636714258228724">Jiongeze kwenye Chrome</translation>
<translation id="5277894862589591112">Ili utumie mabadiliko uliyofanya, fungua Chromium upya</translation>
<translation id="5358375970380395591">Unaingia katika akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Chromium. Data yako ya Chromium, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio miingine itahusishwa na <ph name="USER_NAME" /> kabisa. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza  kuunganisha data hii na akaunti nyingine. <ph name="LEARN_MORE" /></translation>
<translation id="5386450000063123300">Inasasisha Chromium (<ph name="PROGRESS_PERCENT" />)</translation>
<translation id="538767207339317086">Ruhusu kuingia katika akaunti ya Chromium</translation>
<translation id="5398878173008909840">Kuna toleo jipya la Chromium linalopatikana.</translation>
<translation id="5416696090975899932">Chromium haiwezi kuonyesha onyesho la kukagua kwanza chapisho wakati kitazamaji kilichojengewa ndani cha PDF kinakosekana.</translation>
<translation id="5427571867875391349">Weka Chromium kuwa kivinjari chako chaguomsingi</translation>
<translation id="5438241569118040789"><ph name="PAGE_TITLE" /> - Beta ya Chromium</translation>
<translation id="5479196819031988440">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium hauwezi kufungua ukurasa huu.</translation>
<translation id="5480860683791598150">Chromium inahitaji kufikia maelezo ya mahali ulipo ili kushiriki mahali ulipo na tovuti hii</translation>
<translation id="549669000822060376">Tafadhali subiri Chromium inaposakinisha sasisho mpya ya mfumo.</translation>
<translation id="5623402015214259806">{0,plural, =0{Sasisho la Chromium linapatikana}=1{Sasisho la Chromium linapatikana}other{Sasisho la Chromium limekuwepo kwa siku #}}</translation>
<translation id="5631814766731275228">Jina na picha kwenye Chromium</translation>
<translation id="5634636535844844681">Chromium inahitaji Windows 7 au toleo jipya zaidi.</translation>
<translation id="5653831366781983928">Tafadhali zima kisha uwashe Chromium sasa</translation>
<translation id="5680901439334282664">ingia katika Chromium</translation>
<translation id="5698481217667032250">Onyesha Chromium katika lugha hii</translation>
<translation id="5820394555380036790">Chromium OS</translation>
<translation id="5862307444128926510">Karibu kwenye Chromium</translation>
<translation id="5895138241574237353">Zzima na uwashe</translation>
<translation id="5987687638152509985">Sasisha Chromium ili uanze kusawazisha</translation>
<translation id="6013050204643758987">Mfumo wa uendeshaji wa Chromium unawezeshwa na <ph name="BEGIN_LINK_CROS_OSS" />programu huria<ph name="END_LINK_CROS_OSS" /> za ziada, jinsi ilivyo <ph name="BEGIN_LINK_LINUX_OSS" />Linux (Beta)<ph name="END_LINK_LINUX_OSS" />.</translation>
<translation id="6055895534982063517">Kuna toleo jipya la Chromium linalopatikana, na ni la kasi kuliko la awali.</translation>
<translation id="6063093106622310249">Fungua katika Chromium</translation>
<translation id="6072279588547424923"><ph name="EXTENSION_NAME" /> imeongezwa kwenye Chromium</translation>
<translation id="608189560609172163">Chromium haikuweza kusawazisha data yako kutokana na hitalafu ya kuingia katika akaunti.</translation>
<translation id="6096348254544841612">Weka mapendeleo na udhibiti Chromium. Sasisho linapatikana.</translation>
<translation id="6120345080069858279">Chromium itahifadhi nenosiri hili kwenye Akaunti yako ya Google. Hutahitaji kulikumbuka.</translation>
<translation id="6129621093834146363"><ph name="FILE_NAME" /> ni hatari, kwa hivyo Chromium imeizuia.</translation>
<translation id="6212496753309875659">Kompyuta hii tayari ina toleo la hivi punde la Chromium. Ikiwa programu haifanyikazi, tafadhali ondoa Chromium kisha ujaribu tena.</translation>
<translation id="6219195342503754812">{0,plural, =0{Chromium itafunguka upya hivi sasa}=1{Chromium itafunguka upya ndani ya sekunde 1}other{Chromium itafunguka upya ndani ya sekunde #}}</translation>
<translation id="6248213926982192922">Fanya Chromium kuwa kivinjari chaguomsingi</translation>
<translation id="6268381023930128611">Ungependa kuondoka kwenye Chromium?</translation>
<translation id="6295779123002464101">Huenda <ph name="FILE_NAME" /> ni hatari, kwa hivyo Chromium imeizuia.</translation>
<translation id="6309712487085796862">Chromium inatumia kamera yako.</translation>
<translation id="6333502561965082103">Shughuli nyingine zinaendelea kwenye Chromium. Tafadhali jaribu tena baadaye.</translation>
<translation id="6334986366598267305">Sasa ni rahisi zaidi kutumia Chromium pamoja na Akaunti yako ya Google na kwenye kompyuta zinazoshirikiwa.</translation>
<translation id="6373523479360886564">Je, una hakika unataka kusanidua Chromium?</translation>
<translation id="6400072781405947421">Huenda Chromium isifanye kazi vizuri kwa sababu haitumiki tena kwenye Mac OS X 10.9.</translation>
<translation id="6403826409255603130">Chromium ni kivinjari cha wavuti kinachoendesha kurasa za wavuti na programu kwa kasi ya umeme. Ni ya haraka, imara, na rahisi kutumia. Vinjari wavuti kwa usalama zaidi dhidi ya hadaa na programu hasidi ukiwa na ulinzi uliojengwa ndani ya Chromium.</translation>
<translation id="6434250628340475518">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium</translation>
<translation id="6457450909262716557">{SECONDS,plural, =1{Chromium itazimika na kuwaka tena baada ya sekunde 1}other{Chromium itazimika na kuwaka tena baada ya sekunde #}}</translation>
<translation id="6475912303565314141">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium.</translation>
<translation id="6510925080656968729">Ondoa Chromium</translation>
<translation id="6570579332384693436">Ili kurekebisha makosa ya tahajia, Chromium hutuma maandishi unayoandika kwenye sehemu za maandishi kwa Google</translation>
<translation id="6598877126913850652">Nenda kwenye mipangilio ya arifa ya Chromium</translation>
<translation id="6676384891291319759">Fikia wavuti</translation>
<translation id="6717134281241384636">Wasifu wako hauwezi kutumiwa kwa sababu umetoka katika toleo jipya la Chromium.

Baadhi ya vipengele huenda visipatikane. Tafadhali bainisha saraka tofauti ya wasifu au utumie toleo jipya la Chromium.</translation>
<translation id="6734080038664603509">Sasisha &amp;Chromium</translation>
<translation id="6734291798041940871">Tayari Chromium imesakinishwa kwa watumiaji wote kwenye kompyuta yako.</translation>
<translation id="6847869444787758381">Chromium hukuruhusu ujue iwapo manenosiri yako yameathiriwa</translation>
<translation id="6857782730669500492">Chromium - <ph name="PAGE_TITLE" /></translation>
<translation id="6863361426438995919">Google Pay (imenakiliwa kwenye Chromium)</translation>
<translation id="6868056391275687737">Nakala nyingine za Chromium zinatumika. Zifunge ili usasishe.</translation>
<translation id="6893813176749746474">Chromium imesasishwa, lakini hujaitumia angalau kwa siku 30.</translation>
<translation id="6964305034639999644">Fungua kiungo katika dirisha fiche la Chromium</translation>
<translation id="6990124437352146030">Chromium inahitaji ruhusa ya kufikia maikrofoni yako katika tovuti hii</translation>
<translation id="705851970750939768">Sasisha Chromium</translation>
<translation id="7066436765290594559">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli ya siri unayotumia kusawazisha.</translation>
<translation id="7067091210845072982">Ikiwa picha haina ufafanuzi muhimu, Chromium itajaribu kukuwekea. Ili kuweka ufafanuzi, tutatuma picha kwa Google.</translation>
<translation id="7196312274710523067">Imeshindwa kuanzisha Chromium. Jaribu tena.</translation>
<translation id="7205698830395646142">Ficha katika Menyu ya Chromium</translation>
<translation id="7223968959479464213">Kidhibiti cha Shughuli - Chromium</translation>
<translation id="731644333568559921">Sasisha Chromium OS</translation>
<translation id="731795002583552498">Inasasisha Chromium</translation>
<translation id="7318036098707714271">Faili yako ya mapendeleo imeharibika au ni batili. 

Chromium haiwezi kufufua mipangilio yako.</translation>
<translation id="7337881442233988129">Chromium</translation>
<translation id="7339898014177206373">Dirisha jipya</translation>
<translation id="734373864078049451">Wavuti, alamisho, na mambo yako mengine ya Chromium yanapatikana hapa.</translation>
<translation id="7349591376906416160">Msimamizi wa mfumo unaotumia ameweka mipangilio ya Chromium ifungue <ph name="ALTERNATIVE_BROWSER_NAME" /> ili kufikia <ph name="TARGET_URL_HOSTNAME" />.</translation>
<translation id="7448255348454382571">Zima kisha uwashe mfumo wa uendeshaji wa Chromium</translation>
<translation id="7449453770951226939"><ph name="PAGE_TITLE" /> - Chromium ya Wasanidi Programu</translation>
<translation id="7451052299415159299">Chromium inahitaji ruhusa ya kufikia kamera yako katika tovuti hii</translation>
<translation id="7483335560992089831">Haiwezi kusakinisha toleo sawia la Chromium ambalo linaendeshwa hivi sasa. Tafadhali funga Chromium na ujaribu tena.</translation>
<translation id="751093125041325477">Matoleo ya Chromium ya siku zijazo yatajisakinisha kiotomatiki. Ikimaliza kupakua faili hii, Chromium itajizima na kuwaka tena na itakuwa tayari kutumiwa.</translation>
<translation id="753534427205733210">{0,plural, =1{Chromium itafunguka upya ndani ya dakika 1}other{Chromium itafunguka upya ndani ya dakika #}}</translation>
<translation id="7549178288319965365">Kuhusu Chromium OS</translation>
<translation id="7561906087460245826">Futa pia data kwenye Chromium (<ph name="URL" />)</translation>
<translation id="7585853947355360626">Ikiwa mipangilio haionekani kwenye ukurasa huu, angalia katika.<ph name="LINK_BEGIN" />
      mipangilio ya mfumo wa uendeshaji wa Chromium<ph name="LINK_END" /></translation>
<translation id="761356813943268536">Chromium inatumia kamera na maikrofoni yako.</translation>
<translation id="7617377681829253106">Chromium imeboreshwa</translation>
<translation id="7686590090926151193">Chromium si kivinjari chako chaguomsingi</translation>
<translation id="7689606757190482937">Sawazisha na uweke mapendeleo kwenye Chromium katika vifaa vyako vyote</translation>
<translation id="7729447699958282447">Chromium haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani kwa kikoa chako.</translation>
<translation id="7745317241717453663">Hatua hii itafuta data yako ya kuvinjari kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data yako baadaye, ingia katika Chromium ukitumia <ph name="USER_EMAIL" />.</translation>
<translation id="7747138024166251722">Kisakinishi hakikuweza kuunda saraka la muda. Tafadhali chunguza nafasi iliyo wazi kwenye diski na ruhusa ya kusakinisha programu.</translation>
<translation id="7773960292263897147">Ilani: Chromium haiwezi kuzuia viendelezi kurekodi historia yako ya kuvinjari. Ili kuzima kiendelezi hiki katika hali fiche, batilisha chaguo hili.</translation>
<translation id="7790626492778995050"><ph name="PAGE_TITLE" /> - Toleo la Jaribio la Chromium</translation>
<translation id="7827169012280634081">Futa vidakuzi na data ya tovuti unapofunga Chromium</translation>
<translation id="7867198900892795913">Chromium imeshindwa kusasisha toleo jipya, kwa hivyo hutapata masasisho ya usalama na vipengele vipya.</translation>
<translation id="7898472181347242998">Ili uone ikiwa kifaa chako kimesasishwa, nenda kwenye <ph name="LINK_BEGIN" />Mipanglio ya Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium<ph name="LINK_END" /></translation>
<translation id="7937630085815544518">Uliingia kwenye Chromium kama <ph name="USER_EMAIL_ADDRESS" />. Tafadhali tumia akaunti hiyo hiyo kuingia tena.</translation>
<translation id="7975919845073681630">Huu ni usakinishaji wa pili wa Chromium, na haiwezi kufanywa kuwa kivinjari chako chaguomsingi.</translation>
<translation id="7979877361127045932">Ficha katika menyu ya Chromium</translation>
<translation id="8013436988911883588">Chromium itakapopata idhini, tovuti zitaweza kukuomba idhini ya kufikia.</translation>
<translation id="81770708095080097">Faili hii ni hatari, kwa hivyo Chromium imeizuia.</translation>
<translation id="8248265253516264921">Ikiwa picha haina ufafanuzi muhimu, Chromium itajaribu kukuwekea. Ili kuweka ufafanuzi, tutatuma picha kwa Google. Unaweza kuzima mipangilio hii wakati wowote.</translation>
<translation id="8290862415967981663">Huenda faili hii ni hatari, kwa hivyo Chromium imeizuia.</translation>
<translation id="8330519371938183845">Ingia katika akaunti ili usawazishe na uweke mapendeleo kwenye Chromium katika vifaa vyako vyote</translation>
<translation id="8340674089072921962"><ph name="USER_EMAIL_ADDRESS" /> ilikuwa ikitumia Chromium awali</translation>
<translation id="8417404458978023919">{0,plural, =1{Fungua Chromium upya ndani ya siku moja}other{Fungua Chromium upya ndani ya siku #}}</translation>
<translation id="8453117565092476964">Kumbukumbu ya kisakinishi imeharibika au ni batili. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="8493179195440786826">Chromium Imepitwa na Wakati</translation>
<translation id="8586442755830160949">Hakimiliki <ph name="YEAR" /> Wasanidi wa Chromium. Haki zote zimehifadhiwa.</translation>
<translation id="8619360774459241877">Inaanzisha Chromium...</translation>
<translation id="8621669128220841554">Usakinishaji ulishindwa kwa sababu ya hitilafu isiyobainika. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="8682540261359803721">Ikiwa mipangilio haionekani katika ukurasa huu, angalia katika <ph name="LINK_BEGIN" />
      mipangilio ya kivinjari kwenye Chromium<ph name="LINK_END" /></translation>
<translation id="8697124171261953979">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium au unapotafuta kutoka Sanduku Kuu.</translation>
<translation id="8704119203788522458">Hii ni Chromium yako</translation>
<translation id="8739167630197873875">Utafuta vidakuzi utakapofunga Chromium. Ili uendelee kusawazisha, badilisha mipangilio hii ya <ph name="COOKIE_SETTINGS_LINK" />.</translation>
<translation id="8748383401829947534">Funga nakala zote za Chromium.</translation>
<translation id="8796602469536043152">Chromium inahitaji ruhusa ya kufikia kamera na maikrofoni yako katika tovuti hii</translation>
<translation id="8803635938069941624">Masharti ya Chromium OS</translation>
<translation id="8821041990367117597">Chromium haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa.</translation>
<translation id="8862326446509486874">Huna haki zifaazo ili kufanya usakinishaji wa kiwango cha mfumo. Jaribu kutumia kisakinishi kama msimamiaji kompyuta.</translation>
<translation id="8897323336392112261">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium au unapobofya kitufe cha Mwanzo.</translation>
<translation id="8907580949721785412">Chromium inajaribu kuonyesha manenosiri. Chapa nenosiri lako la Windows ili uruhusu hili.</translation>
<translation id="8941642502866065432">Imeshindwa kusasisha Chromium</translation>
<translation id="8974095189086268230">Chromium OS imewezeshwa na programu za ziada za <ph name="BEGIN_LINK_CROS_OSS" />programu huria<ph name="END_LINK_CROS_OSS" />.</translation>
<translation id="9019929317751753759">Ili kufanya Chromium salama zaidi, tumezima kiendelezi kinachofuata ambacho hakijaorodheshwa katika <ph name="IDS_EXTENSION_WEB_STORE_TITLE" /> na huenda kimeongezwa bila ridhaa yako.</translation>
<translation id="9022552996538154597">Ingia kwenye Chromium</translation>
<translation id="9089354809943900324">Chromium imepitwa na wakati</translation>
<translation id="9093206154853821181">{0,plural, =1{Chromium itafunguka upya ndani ya saa moja}other{Chromium itafunguka upya ndani ya saa #}}</translation>
<translation id="91086099826398415">Fungua Kiungo katika kichupo kipya cha Chromium</translation>
<translation id="911206726377975832">Futa historia yako ya kuvinjari pia?</translation>
<translation id="9158494823179993217">Msimamizi wa mfumo unaotumia ameweka mipangilio ya Chromium ifungue kivinjari mbadala ili ufikie<ph name="TARGET_URL_HOSTNAME" />.</translation>
<translation id="9190841055450128916">Chromium (mDNS-In)</translation>
<translation id="93478295209880648">Huenda Chromium isifanye kazi vizuri kwa sababu haitumiki tena kwenye Windows XP au Windows Vista</translation>
<translation id="95514773681268843"><ph name="DOMAIN" /> huhitaji usome na ukubali Sheria na Masharti yafuatayo kabla ya kutumia kifaa hiki. Masharti haya hayapanui, kurekebisha au kupunguza Masharti ya Chromium OS.</translation>
<translation id="985602178874221306">Waandishi wa Chromium</translation>
</translationbundle>